Ndugu yangu BOSS acha kuhukumu mtu. Lilsilowezekana kwa watu kwa MUNGU linawezekana na mungu anaweza kubadilisha mwizi, jambazi , malaya , mvuta bangi akawa mtu mwema kabisa. Kwa wakristo tuna mfano mzuri wa MTUME PAULO ambaye alikuwa muuaji na mtu katili lakini neema ya mungu ilipomshukia akawa ndiye mtu aliyetangaza kwa nguvu injili ya bwana YESU
ah! anatafuta jina tu! mbona bado kavaa hereni.. nywele kaweka dawa .. alafu anasema amesilimu! the dude he not serious! anafanya mambo yote ambayo dini yetu imakataza audience wanapiga makofi!... waislamu hatupigi makofi , nadhani hili ni lile dhehebu la national of islam! they are not real muslims ... the only hiphop star ambaye ameingia haswa katika dini ni LOON!
HUYU HAPA CHINI NDIYE MTU ALIYESILIMU LOON . SNOOP HEZ A JOKE!Huyu jamaa nikweli alikua Dubai Kwenye kutangaza dini last week.
Kwanini mastaa wanapochoka katika fani zao hukimbilia uislam? Im puzzeled
kwanini mastaa wanapochoka katika fani zao hukimbilia uislam? Im puzzeled