Sniper

Sidhani kama hii chuma ni Sniper japo inamwaga Moto wa sayari nyingine.

Kwa wazee wa Games watanielewa hii chuma inatumika zaidi na ma juggernauts aka get sum
 
umenikumbusha mwamba mmoja anaitwa THE JACKAL, Yeye kila mission anaunda chuma yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…