Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Itakuwa vizuri sana mkuu kama utani PM namba zao ni fanye nao mazungumzo haraka iwezekanavyo.Hizo ngoma baba ongea na wasomali, wanakufikishia mpaka mlangoni kwa bei karibu na bure!...nikupe namba, ila usinitaje jina, we jishauwe naye kama unamjua mpaka kielleweke!:biggrin1:
Nilikuwa sijaona post yako mkuu..Mkkuu mbona nimeshakupa jibu hapo juu/
Siyo rahisi, believe me. Kuna factors nyingi zinazomfanya mtu awe sniper mzuri. Kwani unatakiwa uwe mvumilivu sana, uweze kutulia bila kusogea kwa muda mrefu. Halafu katika sniping pia kuna mambo mengi, clear vision, obstructions, inclination, wind speed and direction etc etc. Zaidi ya yote unatakiwa uwe na moyo mgumu, maana target yako unaiona kwa karibu mno wakati mwingine hata chunusi unaiona. Kazi hiyo inataka mazoezi ya muda mrefu.
Mkuu kuna kitu huwa sijaelewa kwenye targets
The right wing man of the sniper usually handles the binoculars/telescope and says words like '3 Oclock'; '2 Oclock'
I know they mean directions, but how does it relate to a direction??
Kama wale wavaa vipedo wa mbagala wa jana waliochoma makanisa!
i like this.
kama sio kuficha id humu tungekuwa na marafiki wazito sana humu,jf ni jungu kuu.
Mkuu umeuliza swali muhimi sana ambalo hutumiwa na snipers na hata marubani kuelezea positions za adui aliye mbele.
Kama muelekeo wako ni ile centre of rotation ya mikono ya saa(pale hour na seconds hands) inapozunguka, basi kama adui yuko juu ya mtazamo wako basi hiyo ni 12 o'clock.
Kama adui yuko chini ya muelekeo wako basi ni 6 o'clock
Sasa kama yuko juu na slightly kulia basi hapo ni 2 o'clock
Vile vile kama adui yuko kushoto kabisa basi yuko 9 o'clock
Positions hizi hutumika sana na marubani angani ili kuelezea relative position ya ndege nyingine iliyo karibu.
Tupo pamoja mkuu.kama sio kuficha id humu tungekuwa na marafiki wazito sana humu,jf ni jungu kuu.