Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Siyo rahisi, believe me. Kuna factors nyingi zinazomfanya mtu awe sniper mzuri. Kwani unatakiwa uwe mvumilivu sana, uweze kutulia bila kusogea kwa muda mrefu. Halafu katika sniping pia kuna mambo mengi, clear vision, obstructions, inclination, wind speed and direction etc etc. Zaidi ya yote unatakiwa uwe na moyo mgumu, maana target yako unaiona kwa karibu mno wakati mwingine hata chunusi unaiona. Kazi hiyo inataka mazoezi ya muda mrefu.HIYO kitu kama ina uwezo waku magnify target mara 25,in that aspect any tom,dick and harry can be a good sniper