SNIFF Program ina kazi gani?

SNIFF Program ina kazi gani?

sayicom

Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
66
Reaction score
1
Habari wakuu!
Kuna hii program inaitwa SNIFF sijui kazi yake ni ipi hasa mwenye kujua naomba anijuze!!
Shukrani
 
Kirusi kinaficha mafiles hakifai kabisa kuna mtu alikiweka hapa miaka hiyo du kilinicost sana kilimeza mafile yangu yote usijaribu kukifungua.
 
Ni program kwa ajili ya kutambua IP address ya kitu chochote kinachokonect kwenye network
 
Back
Top Bottom