Sio kwa hivi, kama unataka kujionea just go mwenyewe kwenye boutiques au shop yoyote unaweza kupata kajionee bei yake halisi.Maisha haya aisee,
kuna jamaa yangu alinunuaga viatu vyake hivi hivi mkononi (kwa mtu) bei ya kutupa, a week later anapita Kariakoo akakutana navyo vimemwagwa kwa 7,000/=