Snapchat ni Dating site iliyochangamka

Snapchat ni Dating site iliyochangamka

Ngoja nitafte hiyo app.

Mimi naokula wako Tinder na Bumble.

Badoo nilikuwepo miaka ile ya mwanzo, 2013-15 ila ikaanza kuvamiwa na mashoga na mashangingi ya mjini nikaachana nao.

Kuna Hitwe imejaa wadada wa kiswahili wachafu, kuna Tantan imejaa single mothers na watoto washamba washamba.

Binafsi nakula Tinder, Bumble, Insta, Facebook. Twitter sijawahi kula mtu kwa sababu twitter inabidi uwe mtu wa drama nyingi na mademu wa twitter wanajiona kama wenye akili sana.

Kuna mmoja namuona twitter halafu nikamkuta Bumble, kule twitter anajifanya untachable, Bumble akaingia kingi baadae nikaamua tu kumpotezea.
Bumble ipoje hii mkuu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kwa sasa hivi hata nikifungua kanisa ninastahili.. tayari nimeacha upuuzi mwingi. Zamani nilikuwa tagged.com na marafiki.com, hizi za kizazi kipya sipo kabisa. Nina account facebook, twitter na insta tu. Lakini niko active hapa JF tu.. huko kwingine nafanya tu kupita
 
Snapchat ndo sehem ya sisi wanaume kufanya mawindo.
 
Back
Top Bottom