Sasa wewe ni mtu wa social networking alafu unanunua windows phones ya nini, yani hii app utakua unaisikia kwa watu.. Subiri subiri labda siku moja wataileta
ilikuwepo store 6snap, client ya snapchat lakini snapchat walilalamika hadi ikatolewa. inshort owner wa snapchat ana bifu na windows phone na sababu zake siku zote hazina mashiko. maybe ameogopa kufunikwa na rudy huyn