Snacks Bar inahitaji mtaji kiasi gani?

Snacks Bar inahitaji mtaji kiasi gani?

earl

Senior Member
Joined
Aug 30, 2012
Posts
142
Reaction score
192
Habari zenu wadau,

Ninaomba mwenye kuelewa biashara ya vinywaji baridi na vitafunwa (Snacks bar) anijuze inahitaji mtaji kiasi gani? Ukubwa wa biashara uwe ni wa wastani (inayoweza kuhumumia watu 10 - 15) kwa wakati mmoja.

Eneo la biashara liwe la kukodisha.

Asanteni.
 
Agiza bidhaa china kwa bei ya kiwandani. Usafiri kwa ndege ni siku 8 mpaka 14 kwa meli ni siku 30 mpka 45. Join my whatsapp group kuweka order
0653279187
My_cheap_price_tz #2
 
Back
Top Bottom