prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 190
poa poa mkuu, mwenyewe ilinizingua ikanibid niafanye karesearchThanks for your information. I was prepared to switch off my cellphone.
poa poa mkuu, mwenyewe ilinizingua ikanibid niafanye karesearchThanks for your information. I was prepared to switch off my cellphone.
Mimi nilivyopata tu message nikakimbilia kwenye website ya nasa, nikasome news release zao za mwezi mzima kuanzia leo na sijaona kitu. Zaidi ya hapo nikaenda BBC, sijaona kitu. Hiyo hoax, na sijui inawasaidiaje hao waanzishaji wa hizi rumours.Ni uzushi, ni ujumbe umesambaa kwenye mitandao ya intaneti na simu (including BBM)
Ni kweli kabisa.Tonight 12:30 am to 3:30 am cosmo rays entering earth from mars. So switch off your mobile at night. Don't keep your cell with you & put it away while you are sleeping because they are too much dangerous rays: NASA informs BBC NEWS. Pls spread this news.
The message above is clearly some kind of a HOAX. I don't know why people are circulating panic messages such as this to disturb the lives of other people. From what I have read, this message has already been circulating since 2008 and it suddenly reappeared today, 6 April 2012. I even received a text message and saw wall posts containing the same fake information.
Meanwhile, I also did check the NASA and BBC news today to see if they really published something like this. Fortunately, NASA never said such a thing and will probably never make such a statement as Mars does produce any electromagnetic rays.
Anyway, there are several reasons to say that this information is untrue.
First, Mars could not emit harmful radiation because it is not a star. Cosmic rays are emitted by stars. i.e bodies that are undergoing nuclear reactions that is fusion (as occurs in our sun) or fission (as occurs in nuclear reactors). Mars is neither. It is a planet that just reflects sunlight. It cannot emit cosmic radiation.
Next, with regards to these rays the earth's atmosphere is capable of taking care of them so no need to worry. The magnetosphere absorbs and protects us from the sun's harmful radiation. Whatever remains is too feeble to affect any thing as far as earth.
Nililala na simu, moja Nokia original. Blackbery moja na nyingine za kichina, hiyo mionzi ikaniogopa, ikanikwepa, ikaenda kwa baba mwenye nyumba, tukasikia amenaswa kwenye dirisha la jirani akiwa uchi, hatuelewi, alikuwa anawanga au anapiga chabo?
Ni uzushi, ni ujumbe umesambaa kwenye mitandao ya intaneti na simu (including BBM)
Nililala na simu, moja Nokia original. Blackbery moja na nyingine za kichina, hiyo mionzi ikaniogopa, ikanikwepa, ikaenda kwa baba mwenye nyumba, tukasikia amenaswa kwenye dirisha la jirani akiwa uchi, hatuelewi, alikuwa anawanga au anapiga chabo?
Kama kuna hili kwa nini mitandao husika isitumie ujumbe kwenye simu zetu.
Kuliko zile ujumbe za usumbufu eti umekaribia kushinda bahati nasibu zao za uongo na kweli...