SMS za Kimahaba.

ryana fan

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,063
Habari wakuu naamini mmeshinda salama baada ya mizunguko ya siku. Basi nisiwachoshe Sana niende Moja kwa Moja kwenye mada husika.

Naomba mwenye sms za Kimahaba atupie hapa tuone anavyompa demu mstari. Hata wewe binti kama Kuna jamaa aliwahi kukutongonza naamini kabisa Bado unakumbuka hiyo mistari Basi leteni tushee kidogo .
Ahsanteni na karibuni. Naanza Kama ifuatayo.

"Mpenzi usiende mbali nami, njoo ufaidi utamu usioisha hamu, nitakupa mwili wangu ucheze nao hadi asubuhi, nitakulisha unachokitaka, sitakubania kwani naogopa wengine wanaweza kukupa... njoo leo uniambie unataka nini?"
 
Kuna kademu kalikuwa hakati kutoa papuchi nikaona sasa ngoja nitumie uchaw wa Geneva nika mtigo pesa mawe then nikanyut kama siku mbili hv ya tatu naona msg

Mambo........Leo utakuwa na muda na shida ya kuongea na wew mana unaonekana mgumu lakin unajua kucare ...kilichofuata nilipandishwa ndege fasta..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
--Kaka huyu Mganga mwenye namba 0742037115atakusadia maana amenisaidia mimi hadi kupata Utajiri na biashara zangu kwenda vizuri mpigie ata ukiwambali atakusaida.

--- Nikopeshe Milioni 1 kwanza na mimi nifanye Biashara.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…