Sms Yake inanichanganya. Nifanyeje??

Sms Yake inanichanganya. Nifanyeje??

Jiran mwema

Senior Member
Joined
Nov 7, 2015
Posts
164
Reaction score
104
Kuna mdada ambae tumedumu kimahusiano kwa miaka mitatu Sasa, upendo wangu kwako ulizid kuongezeka kutokana na Ile Hali ya kumkuta bikra, nilimpa vyote alivyostaili kupewa mwanamke. Kilichonifanya niandike uzi huu ni baada ya mwanamke nimpendae kusafir kuelekea Dar kujiendeleza na masomo Yake. Juzi nilimtumia meseji nikamwambia nimemmis Sana lakn cha Ajab alionesha kutopendezwa na sms yangu na hvyo kunijibu"Nilijua una jambo la maana la kunieleza kumbe Hilo" Nifanyej wanajamvi kwa maana nimebaki njia panda
 
Ignore her. Hawa dada zetu ndio lugha wanayoielewa. Akileta ujinga just ignore uwe busy na mambo yako. You will be doing that for your own peace of mind. Usiumize kichwa kumfikiria mtu mzima ambaye haleti ushirikiano. Wanawake wote hawa?! Kwa nini uumize kichwa na mmoja. A relationship is a two way street.
 
mkuu wanaume wa dar sio watu wa mchezo mchezo washakamatia kifaa hicho pole sana...tafuta mwingine huyo sio wako tena mkuu
Tatzo lililopo ni kwamba moyo wangu bado unampenda xna mkuu
 
Ukimtoa Bikra Bado Shida, Ukimkuta Sio Bikra Bado Utaambiwa Ni Demu Wa Mtu (Aliyemtoa Bikra)..

Dah Hii Jinsia Ni Shida
 
Mkuu utakufa kwa pressure bure nadhani hulijui hili jiji vizuri huyo mwache tena kwa amani kabisa tafuta mwingine...
Ngoja nijarib japo kishingo upande mkuu!! Kama Kuna mganga wa kunifanya nimsahau huyu mdada naomba unisaidie jinsi ya kumpata Ili Nami kwa Mara ya kwanza niroge
 
Ndio ujue wanaume wa dar sio wa mchezo, akikukuta unakabwa, unachomwa visu hana habari na wewe ila akikatiza mwanamke anae, hii ndo dar mkuu umakuja na bikra yako unarudi huna kitu
 
Wewe wala usihangaike... huyo anatafuta attention. Sasa na wewe kula buyu... (radio silence). Yaan fanya kama vile humkumbuki. Atarud mwenyewe. Hiv viumbe ukivililia sana wanakuona boya
 
Back
Top Bottom