Mke wa jamaa katumiwa sms na classmate wake wa kiume
"Vp rafiki, habari za siku nyingi? Vp mwanangu hajambo? Je baba yake wa bandia nae hajambo?" Japo sms ni ya utani lakini mwanaume hajataka kuelewa hiyo lecture amemwambia mwanamke afungashe kwani ndiye wa kwanza kuisoma hiyo sms.
Ingekuwa wewe ndo mume/mke ungemfanyaje huyo rafiki?
Pia tujihadhari na sms za utani hasa za ku~forward kwa wake/waume za wengine.
Chezea kumwita mume/mke wa mtu 'my dear' wengine wana wivu kupita maelezo
Sijui kama hadi leo kama imeshathibitika kati ya mwanaume/mwanamke ni yupi mwenye wivu katika mapenzi zaidi.