Ingia kwny profl yako ya TCU ndo uta elewahatujakuelewaaa mkuu?
Mbona hakuna mf plz
Hiyo sms hakuna usiwapumbaze watu😀😀😀😀😀
Jamani kuna sms wame tuma tcu kupitia account zenu soma vzr n kuielewa kama uta ona ni poa utaweza ifanyia kazi asanten...
Hakuna nn w hujui kusoma au
zoezi hlo bdo xana ,maybe 3rd round ipite.Hyo sms ina husu kwa wale wanao taka kubali vyuo na cozi kwa ata kaeee fanya haraka ndo ata saidiwa wa kwanza kutuma maombi n sh 30 ndo hayo tu
zoezi hlo bdo xana ,maybe 3rd round ipite.
hawasomi alama za nyakati c wafuatiliaj wa mambo na hawapend kujiongeza.ata mimi nlitaka nishangae mbona admision bado hazijaisha afu transfer ianze !! kuna jamaa angu aliniambia kua iyo link ya transfer is not accessible......
labda mwanzisha uzu atolee maelezo vizuri kua pia inawausu watu gan 1st,2nd au na wa 3rd ...am damn getting confused dude....!!
ss m cjui ina wahucu wty gani...but nyie mjuee ilo tangazo nime lionaa
tatizo sio kuliona je linafanya kazi au wewe umejaribu!?
Apo ndo utupe feedback sasa kwamba tayari au bado haifunguki.......
tatizo sio kuliona je linafanya kazi au wewe umejaribu!
Apo ndo utupe feedback sasa kwamba tayari au bado haifunguki.......
Sija jaribu kufungua kwasababu cina cha kubadilishaa nime rizika walivyo ni panga