Sms kutoka kwa mwenza (mpenzi) wako.

Sms kutoka kwa mwenza (mpenzi) wako.

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,002
Reaction score
16,240
nimepata x-ray leo na ww ndo umeonekana kwenye moyo wangu daktari amesema kama nikikuondoa ndani ya moyo wangu nitakufa kwa sababu siwez kuishi bila mtu muhimu kama ww tuma sms hii kwa watu ambao hupendi kuwapoteza mwaka 2018 kama na mm ni mmoja wapo nirudishie sms hii tuma kwa watu 15. be honest. tuma kwa wote wanaokufanya uwe na furaha daima.kama mm nilivyokuona ww

UTAWAZA NINI KUHUSU YEYE, UTAMUONA NI MTU WA AINA GANI??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I try to make a relationship
but, sikutegemea kama angenipa jibu hili
IMG_20190112_111336.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada unataka kumjua rafiki yake umgegede au? Huyo demu anafoward meseji anazotumiwa na bwana ake sababu hajui hata ku google
 
Kwanza atakuwa na elimu ndogo na kama kasoma sana lazima kaishia form 4.
Mengine kama kutuma kwa watu 15 siyaongelei maana level yake ya elimu ndiyo imemponza.
Huwezi kuta msomi anahangaika na msg ya namna hiyo.
[emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee (In Chaga’s tone)
 
nimepata x-ray leo na ww ndo umeonekana kwenye moyo wangu daktari amesema kama nikikuondoa ndani ya moyo wangu nitakufa kwa sababu siwez kuishi bila mtu muhimu kama ww tuma sms hii kwa watu ambao hupendi kuwapoteza mwaka 2018 kama na mm ni mmoja wapo nirudishie sms hii tuma kwa watu 15. be honest. tuma kwa wote wanaokufanya uwe na furaha daima.kama mm nilivyokuona ww

UTAWAZA NINI KUHUSU YEYE, UTAMUONA NI MTU WA AINA GANI??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii imeeksipaya!
 
Back
Top Bottom