Smile pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hawa watakuwa wa TZ maana MTZ akiwa juu hataki mwenzie amfikie huko atafanya kila njia ya kumwangusha haraka sana bila huruma.
 
Hawa watakuwa wa TZ maana MTZ akiwa juu hataki mwenzie amfikie huko atafanya kila njia ya kumwangusha haraka sana bila huruma.

lakini si wanasema 'MPANDA NGAZI HUSHUKA?'
 
Alisahau ule usemi usemao "Aliye juu mngoje chini".
 
mwenyewe nilijua nishapata kichwa cha kula mizinga wkend!
Ndiyo maana ukaja mbioooooooooooo! Loh! pole sana, hata mm nilijua umeshapata Air condition wa week end hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…