Kwa mwenye ujuzi tafadhali,nimenunua smartwatch ila ina tatizo,nikiweka line ya simu inaniniandikia invalid sim,naomba mwenye ujuzi wa hizi saa anijulishe shida ni nini maana ni mara yangu ya kwanza kuitumia na sina user manual...
TCRA washafanya yao, imei kimeoYote nimejaribu imekataa,ila vitu vingine vyote including Bluetooth vinafanya kazi vizuri..