Mkuuu tecno hawaaminik...ila kikubwa angalia setting yako ya Internet..pale kwenye kwe Internet Access point (APN). Km utahitaji msaada zaid usisite kunichek, ni msaada bure, 0654776976..Jamani Mimi naomba kuuliza kwani c9 huwa inashida gani kwenye internet yangu inazingua sn, wajuzi nielewesheni.samahani lakn Kwa kuingilia uzi
Good...maana waungwana hawachelewi kusema nimeanza uza vimeo...hah hah hah, sema sasa ndio ujifunze siku nyingne epukana na huo usumbufu..nitafute mapema kabla ya kununua simu hata upate ushauri tu.Angalizo sijanunua Kwa huyu muuzaji jamn.
Hapana chief sina...na hizo kitu ni adimu aysee...ila jaribu kutembea maduka ya hapa aggrey unaweza patabroo naomba kuuliza, complete screen ya HTC One Vx naweza nikaipata dukani kwako? na kama ipo ni bei gani?
simu yenyewe ni hii hapa....
View attachment 414589
hahahaha,aisee nimecheka mkuu ile mbayaDah, yaani km mimi ndio sijuagi aina ya simu, mpaka niione ndio najua kumbe ndio aina husika au nivutiwe na muonekano niulize niambiwe ndio aina fulani !
Uko na mini projectorsNichek 0654776976
View attachment 392181View attachment 392182View attachment 392183View attachment 392184View attachment 392185View attachment 392187View attachment 392188View attachment 392189View attachment 392190View attachment 392191View attachment 392192View attachment 392193View attachment 392194View attachment 392197
L G Flex zipo mkuu.. sema hiyo model utakayo D958 ya China ndio sina, zipo F340 ambazo ni model ya Korea, bei ni 500kMkuu naomba kujua kama una LG GFlex D958 black
kama ipo nijuze na bei yake nikuibukie
View attachment 434580
mkuu ni mpya? next week ntakuja Dar na ntakutafuta, kama vipi ni PM namba yakoL G Flex zipo mkuu.. sema hiyo model utakayo D958 ya China ndio sina, zipo F340 ambazo ni model ya Korea, bei ni 500k