[emoji1] [emoji1]Mkuu huyu mtu hasaidii anafanya biashara.
Labda ww umemuelewa vibaya.
Huyu nimfanya biashara kama unataka kusaidiwa tafuta njia nyingine yakupata msaada wa bidhaa anazo uza hyu jamaa.
Labda kwa ushauri nenda ktk nyumba ya ibada ya imani yako uwombe wakuchangie pesa uje ununue bidhaa unayo taka.
Labda nikuulize ww unata nini ktk hizi bidhaa alizo tutangazia nione kama mm naweza kukusaidia?
Mkuu ungetoa caption ya kila picha uliyoiweka ingesaidia wateja kujua unachokita!Inategemea na brand na model yake
Nitafanyia kazi asee...japo km ulivyosema inakwa vigumu hum ndio maana huwa nashauri kwa maelezo zaid mtu anichek kwenye # yang 0654776976Mkuu ungetoa caption ya kila picha uliyoiweka ingesaidia wateja kujua unachokita!
Japo ni kazi ila jitahidi.
Umevurugwa wewe. Huna lolote kapuku tu. Ungekuwa nahela tusingekuona humu una tapatapa kama bata anaekata roho. HovyooooooooooooooMkuu huyu mtu hasaidii anafanya biashara.
Labda ww umemuelewa vibaya.
Huyu nimfanya biashara kama unataka kusaidiwa tafuta njia nyingine yakupata msaada wa bidhaa anazo uza hyu jamaa.
Labda kwa ushauri nenda ktk nyumba ya ibada ya imani yako uwombe wakuchangie pesa uje ununue bidhaa unayo taka.
Labda nikuulize ww unata nini ktk hizi bidhaa alizo tutangazia nione kama mm naweza kukusaidia?
Dah, yaani km mimi ndio sijuagi aina ya simu, mpaka niione ndio najua kumbe ndio aina husika au nivutiwe na muonekano niulize niambiwe ndio aina fulani !Mkuu ungetoa caption ya kila picha uliyoiweka ingesaidia wateja kujua unachokita!
Japo ni kazi ila jitahidi.
Zinapendeza, ila naomba kujua hiyo Huawei uliyoshika ndio ipi na bei ganiView attachment 392181View attachment 392182View attachment 392183View attachment 392184View attachment 392185View attachment 392187View attachment 392188View attachment 392189View attachment 392190View attachment 392191View attachment 392192View attachment 392193View attachment 392194View attachment 392197