mzalendo Wa mANyANyA
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 111
- 44
ulinz mkuuu unauweza aiseeee maana masaaa 4 umemkodolea macho
Kitendo cha kunifokea tu mbele za watu kingenigeuza kurudi nilipotoka, sipendi hii tabia utakuta mwanaume anamfokea mdada mbele za watu, kwann kama ujapendezwa na kitu usisubiri ukamsema mkiwa wawili??Last Sunday nilienda na demu wangu South beach kigamboni...
Njia nzima yuko bize na cm yake anachati mara anaongea cjui na lijamaa gani kubabake...!!!
Tumefika geti nalipa kiingilio nikafoka mbele ya Walinzi pale:
"Ukimaliza kuchezea li simu lako ndipo uingie humu... Mie natangulia"
Mbona ali switch off kwenye mkoba "tubwii"
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng