Smartphone ya Samsung inahitajika

Smartphone ya Samsung inahitajika

OPTIMISTIC

Senior Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
125
Reaction score
20
Salaam wapendwa.
Ninahitaji simu ya kununua iwe Samsung galaxy note3 au s4 au toleo jipya zaidi. Iwe original, inafanya kazi na iko katika hali nzuri na haijawa rooted na sio jail breaked
Ninashukuru sana
 
Back
Top Bottom