Mkuu kuna Samsung Galaxy S Duos 2 GT-S 7582 ingawa bei kwa Mlimani City Samsung Shop inauzwa 370000/- ila zipo tu ambazo kwa pesa uliyonayo unapata mpya sana.
Mkuu kuna Samsung Galaxy S Duos 2 GT-S 7582 ingawa bei kwa Mlimani City Samsung Shop inauzwa 370000/- ila zipo tu ambazo kwa pesa uliyonayo unapata mpya sana.
Tatizo la hiyo Huawei ni RAM tu. 512MB kwenye Android ni ndogo sana.
:focus: kama hutojali Lumia 520 mpya utapata kwa hiyo bei. Nokia X, X+ na XL pia unaweza pata (Ila si recomend sana Nokia X series coz nimesikia X project is done cc chief-mkwawa). Pia Lumia used kama Lumia 620, 630, 525, 720 unaweza kuzipata kwa mtu.
Kwenye Android, Huawei Ascend y300, Tecno nyingi tu, Motorola kadhaa pia zimo.