D DIRIMULAINA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 978 Reaction score 1,835 Aug 5, 2018 #1 Nauza simu yangu ninayotumia, haina tatizo lolote, nimeitumia mwaka 1. Mazungumzo kidogo yapo. Ninayo makao makuu (Dodoma) nicheki piemu.
Nauza simu yangu ninayotumia, haina tatizo lolote, nimeitumia mwaka 1. Mazungumzo kidogo yapo. Ninayo makao makuu (Dodoma) nicheki piemu.
D DIRIMULAINA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 978 Reaction score 1,835 Aug 5, 2018 Thread starter #2 Nimeshindwa kuipiga picha kwa sasa maana ndio naitumia kuperuzi humu..baadae nitafanikisha hilo.
majohe kona JF-Expert Member Joined May 23, 2018 Posts 257 Reaction score 263 Aug 6, 2018 #3 Mhh mkuu hata dukani model hiyo imepotea mda sana zaidi ya miaka 2, ila ni simu nzuri
D DIRIMULAINA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 978 Reaction score 1,835 Aug 6, 2018 Thread starter #4 majohe kona said: Mhh mkuu hata dukani model hiyo imepotea mda sana zaidi ya miaka 2, ila ni simu nzuri Click to expand... Yah, ni brand nzuri sana ya tecno mkuu
majohe kona said: Mhh mkuu hata dukani model hiyo imepotea mda sana zaidi ya miaka 2, ila ni simu nzuri Click to expand... Yah, ni brand nzuri sana ya tecno mkuu
Mahole JF-Expert Member Joined May 17, 2018 Posts 682 Reaction score 924 Aug 6, 2018 #5 DIRIMULAINA said: Nimeshindwa kuipiga picha kwa sasa maana ndio naitumia kuperuzi humu..baadae nitafanikisha hilo. Click to expand... Baadae haijafika mkuu?
DIRIMULAINA said: Nimeshindwa kuipiga picha kwa sasa maana ndio naitumia kuperuzi humu..baadae nitafanikisha hilo. Click to expand... Baadae haijafika mkuu?
D DIRIMULAINA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 978 Reaction score 1,835 Aug 6, 2018 Thread starter #6 Mahole said: Baadae haijafika mkuu? Click to expand... Ha ha, imefika mkuu ila bado naitumia kuperuzi kidogo
Mahole said: Baadae haijafika mkuu? Click to expand... Ha ha, imefika mkuu ila bado naitumia kuperuzi kidogo