SMARTPHONE NOKIA 6

MUBIKU

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
284
Reaction score
388
Wakuu mwenye expirience na hii smartphone ya nokia 6 , hasa kwenye betri, android, na mfumo mzima wa interface.
Maaana inauzwa so hatj msaada wa mawazo. Hasa nijue ubora wake kbla ta kununua .
Ahsanten na karbun.
 
Zipo Nokia 6 mbili ya mwaka jana na mwaka huu

Ya mwaka jana ni snapdragon 430
Ya mwaka huu ni snapdragon 635

Sikushauri kununua ya mwaka jana ila ya mwaka huu ni nzuri.

Hilo box wameandika inatumia nougat 7.1.1 inamaana hio ni ya mwaka jana.

Ushauri wangu achana nayo unless anakuuzia chini ya laki 4.
 
Simu ikishaitwa Nokia tu achana nayo mkuu. Nokia walifanya vzur sana kwenye Nokia Obama (tochi). Lkn hizi zinazotumia android system achana nazo...ni kwikwi.

Angalia wenzio wanachosema hapa: Nokia 6 - User opinions and reviews
 
Nashkkuru mkuu nimekuelewa sana
 
Simu za nokia kwenye android ni kichefu chefu achana nazo kabisa
 
Wakuu naomba kwa anayejua bei ya Huawei GR5 KII-L21 ya mwaka 2015 aniambie,pia kama ni muuzaji wa simu aseme anakopatikana nimwelekeze mteja aje amuunge mkono.
 
Kwenye smartphone nokia hafanyi vizuri kabisa, njoo samsung hutajutia uamuzi.

Tafuta Samsung J7 pro kwa bei hiyo waweza pata
 
Simu ikishaitwa Nokia tu achana nayo mkuu. Nokia walifanya vzur sana kwenye Nokia Obama (tochi). Lkn hizi zinazotumia android system achana nazo...ni kwikwi.

Angalia wenzio wanachosema hapa: Nokia 6 - User opinions and reviews
Mkuu kama hujui kitu chochote kuhusu nokia bora ukae pembeni.
Hizi simu za nokia Android zimeanza vizuri sana sokoni huku zikiwa na guarantee ya updates za Android kwa miaka 2 ya mbele,nokia 6 Android ndiyo simu ngumu duniani kwa mwaka 2017
 
Ninayo hyo nokia 6 bado ipo ktk good condition. nauza 400k. Atakaehitaj aje nimuuzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…