kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 17,563
- 21,208
Habari ya jumapili wakubwa,hivi naweza kupata smartphone nzur ya bei ya laki mbili,isiwe tecno au itel
Kwa pesa yako chukua NOKIA 3310
Habari ya jumapili wakubwa,hivi naweza kupata smartphone nzur ya bei ya laki mbili,isiwe tecno au itel
Njoo DM tufanye lifeNichek 0755957515 uchukue hii J2
Hapo umemweza
lte band zipi? bila kuonyesha band ni kazi bure, kuna band kibao za 4g kama 40 hivi ila bongo unahitaji 2 au 3 hv, hivyo bila kujua band ni kazi bureUnajua mkuu watu ni wabishi halaf hawana ufaham juu ya kile wanachokibisha wakati vitu vipo wazi kabisa.
Hebu njoo useme tena kuwa W4 haina 4G ni 3G pekee abel990.
Asante kwa ufafanuzi mzuri mkuulte band zipi? bila kuonyesha band ni kazi bure, kuna band kibao za 4g kama 40 hivi ila bongo unahitaji 2 au 3 hv, hivyo bila kujua band ni kazi bure
lte band zipi? bila kuonyesha band ni kazi bure, kuna band kibao za 4g kama 40 hivi ila bongo unahitaji 2 au 3 hv, hivyo bila kujua band ni kazi bure
yap jf sio ndogo ila supply ya Tecno ni ndogo hawauzi nje ya Africa, na band zetu huku hufanana.Ipo link hapo juu nimeweka ya specs zake hiyo w4 waweza pitia mkuu.
Na pia, alichosema ndugu abel990 ni kuwa w4 ni 3G pekee na sio 4G hii sio sahihi hata kama itakuwa hamna hizo band zinazotakiwa hapa bongo bado hakutakiwa kusema hivyo.
Jamiiforums haipatikani bongo peke yake let say mtu aliyeko eneo ambalo 4G ya simu hii iko fine anaposoma hiyo post ya jamaa ataamini kitu ambacho si kweli wakati labda kwao inapiga kazi vizuri tu.
Jamiiforums sio website ndogo Wakuu.
Sawa mkuu nimekuelewa vizuri kiongozi. Shukran.yap jf sio ndogo ila supply ya Tecno ni ndogo hawauzi nje ya Africa, na band zetu huku hufanana.
hio link ulioeka haina specification za band wameandika tu lte ndio maana nikacoment na mimi, ungetest wewe tigo 4g (800) na voda 4g (1800) then ukaleta feedback hapa
xiaomi redmi 2 nimeiona shilingi 6000 au 7000 hivi kenya.Tecno w3 LTE , Cheapest 4g android so far.. brandnew kwa 180k tsh tu..
Warranty 13months
Duuuh.. thats very cheap aiseee…xiaomi redmi 2 nimeiona shilingi 6000 au 7000 hivi kenya.
mpaka uagizieDuuuh.. thats very cheap aiseee…
Hiv huku bongo zipo ??