G genious wa kijiji Senior Member Joined May 1, 2014 Posts 173 Reaction score 250 Jun 28, 2016 #1 nimenunua smartphone tigoshop ZTE kiss 3. line moja lazima iwe ya tigo lakini nyingine ni yoyote. tatizo upande wa line yoyote 3g haisomi. je ni kawaida kuwa hivyo kwa smartphone za tigo au natakiwa kufanya nini nipate huduma ya 3g!?
nimenunua smartphone tigoshop ZTE kiss 3. line moja lazima iwe ya tigo lakini nyingine ni yoyote. tatizo upande wa line yoyote 3g haisomi. je ni kawaida kuwa hivyo kwa smartphone za tigo au natakiwa kufanya nini nipate huduma ya 3g!?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,649 Reaction score 97,318 Jun 28, 2016 #2 Kawaida kwa simu za bei chee (Low range smartphone) ambazo ni line 2. Line ya kwanza tu ndio inasoma 3G. Ile line 2 ni EDGE
Kawaida kwa simu za bei chee (Low range smartphone) ambazo ni line 2. Line ya kwanza tu ndio inasoma 3G. Ile line 2 ni EDGE