Smartphone GUN..(IPHONE) with real bullets!!

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
771
Reaction score
349

mfanya biashara marekani kagundua silaha mpya ambayo ni bastola lakini smartphone tena Iphone...hii unaweza ukaibeba na kuificha kwa urahisi bila mtu kujua, itaanza kuuzwa soon mwishoni mwa mwaka huu....

haya wapenzi wa iphone kazi mnayo.. ukiingia ubalozi wa marekani pale kila mtu ana iphone kumbe ni silaha sisi tunaiga iga mtaani kutishana hata bando tu zinawashinda....

unaweza uka chart au ukamshuti mtu... what do you think..

source: The smartphone gun: cheap, hidden and deadly – video
 
Haitaruhusiwa kuuzwa kwenye nchi nyingine ambazo unahitaji lesini kuwa na gun.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…