M mchakamchaka2 Senior Member Joined Nov 18, 2010 Posts 115 Reaction score 54 Sep 2, 2013 #1 mwenye uelewa wa smart gn nzuri naweza nunua kwa bei ya chini
Mchaka Mchaka JF-Expert Member Joined Jul 20, 2010 Posts 4,517 Reaction score 1,428 Sep 2, 2013 #2 mchakamchaka2 said: mwenye uelewa wa smart gn nzuri naweza nunua kwa bei ya chini Click to expand... Mkuu hiyo ID yako vp?
mchakamchaka2 said: mwenye uelewa wa smart gn nzuri naweza nunua kwa bei ya chini Click to expand... Mkuu hiyo ID yako vp?
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,676 Reaction score 14,001 Sep 2, 2013 #3 Mchaka Mchaka said: Mkuu hiyo ID yako vp? Click to expand... kaipenda yako nini bro?
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,795 Reaction score 22,767 Sep 2, 2013 #4 mchakamchaka2 said: mwenye uelewa wa smart gn nzuri naweza nunua kwa bei ya chini Click to expand... Maelezo hayajitoshelezi mkuu. Kwa mwingine bei ya chini ni kati 150k hadi 400k Wakati kwa mtu mwingine ukisema bei ya chini anachukulia kati ya 350k - 600k Hivyo ili ushauriwe vyema ni simu ipi ya kununua bora useme bajeti yako ni tsh ngapi. Karibu
mchakamchaka2 said: mwenye uelewa wa smart gn nzuri naweza nunua kwa bei ya chini Click to expand... Maelezo hayajitoshelezi mkuu. Kwa mwingine bei ya chini ni kati 150k hadi 400k Wakati kwa mtu mwingine ukisema bei ya chini anachukulia kati ya 350k - 600k Hivyo ili ushauriwe vyema ni simu ipi ya kununua bora useme bajeti yako ni tsh ngapi. Karibu
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Sep 2, 2013 #5 Smartphone ziko nyingi itategemea na bajeti yako tu
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 594 Sep 2, 2013 #6 mchakamchaka2 said: mwenye uelewa wa smart gn nzuri naweza nunua kwa bei ya chini Click to expand... Smartphone nzuri ni ile ambayo ina kidhi haja zako na bei ulio nayo,
mchakamchaka2 said: mwenye uelewa wa smart gn nzuri naweza nunua kwa bei ya chini Click to expand... Smartphone nzuri ni ile ambayo ina kidhi haja zako na bei ulio nayo,