mmmhhh? Yani mkipeana number za sim tu,
watu mnapiga kabisa na HIV test... Mabwaku!
Kambaku, make sure you get one mapema.
We mtu unahishi karne ya ngapi?Unataka kunipima kabisa mama? Huo mtihani sasa jamani!
hiyo safi kabla sijaingia na mchuchu nampima kabisaaaa
We mtu unahishi karne ya ngapi?
Kupima ni lazima, tena kila term!
Mwaka jana nilikuwa na mchumba alipima inatosha.
Hujawahi sikia mtu anakataa scholarship sababu anatakiwa kupima?
bado unae? i mean mchumba...Mwaka jana nilikuwa na mchumba alipima inatosha.
Hujawahi sikia mtu anakataa scholarship sababu anatakiwa kupima?
bado unae? i mean mchumba...
Wewe ndie ulikataa kupima ulipopata scholarship?Sana tu, mimi naachanaga?
nlivomuelewa jamaa haitakua smartphone inatambua ukimwi bali smartphone itakua hadubini ndogo halafu itabidi hilo goma lako au mtu unaempima umtoe damu kwanza then ndo upime ukimwi
Hii ina maana still kuna kutoa damu so ujuzi wa kinesi unatakiwa uwepo.
I hope nokia watatoa purelab (laboratory ya simu) na apple watoe ilab na android (food-name-yoyote)lab