smartphone and Android

atrash

Member
May 1, 2011
75
12
habari zenu wakuu mi naomba kujuzwa hizi smartphone ni simu za aina gani na adroid ni simu za aina gani utajuaje kama hii ni smartphone na hii ni adroid kama vile samsung ,nokia kama mimi nina samsung GT-S 5233a je hii ni smartphone au ni adroid
hiki kitu kina nichanganya sana unaweza ukaambiwa application hii ni kwa ajili ya sambianphone sasa utajuaje sambian phone iko upande wa nokia au samsung naomba kujuzwa tafadhali
 
habari zenu wakuu mi naomba kujuzwa hizi smartphone ni simu za aina gani na adroid ni simu za aina gani utajuaje kama hii ni smartphone na hii ni adroid kama vile samsung ,nokia kama mimi nina samsung GT-S 5233a je hii ni smartphone au ni adroid
hiki kitu kina nichanganya sana unaweza ukaambiwa application hii ni kwa ajili ya sambianphone sasa utajuaje symbian phone iko upande wa nokia au samsung naomba kujuzwa tafadhali

Nitakujibu kwa mfano labda unaweza kukusaidie kuulewa

Smartphone ni aina ya simu yenye vigezo fulani na ina OS. Simu samartphone mbali mbali zinatumia OS mbali mbali kama

  • Smarthphone za Nokia zinatumia OS Symbian na za kisasa zaidi wameamua utumia windows phone
  • Smartphone za Iphone zinatumia OS propietary ya IoS
  • Makampuni mengine ya simu yanatumia OS ya Android kwenye baadahi ya model za simu zao na model nyingine wanatumia propietary OS.
U-ki google au uki wikipedia hiyo smartphone ya samsung GT-S 5233 utaona kuwa inatumia OS propietary ya samsung(J2ME) na sio Android

Kwa hiyo kujua applicatiion gani unaweza kutumia kwenye smarthphone yako inbidi ujue Platform/OS inayotumika.
 
Hapo unachanganya madawa mkuu.android ni os ya google inayorun kwenye smartphone.
Ingoa google utapanda info zote
 
android ni os ya google kama alvyo sema tsar na ki ufupi smartphone tuseme ni jina inayotumika kwny simu yoyote yenye vigezo fulani. Sana sana inayotoa maxmum interraction na mtumiaji katika kazi zake. Mostly simu nyingi zinazotoka ckuiz ni smartphone
 
Back
Top Bottom