Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,863 Reaction score 828 May 11, 2015 #41 Nzowa Godat said: Kwa laki tatu nunua techno H7 ambayo bei yake inacheza eneo hilo ina kila kitu kinachohitajika kwenye simu. Click to expand... Yaani unamshauri mtu anunue tecno kwa laki3!,tecno hata bure sichukui mimi
Nzowa Godat said: Kwa laki tatu nunua techno H7 ambayo bei yake inacheza eneo hilo ina kila kitu kinachohitajika kwenye simu. Click to expand... Yaani unamshauri mtu anunue tecno kwa laki3!,tecno hata bure sichukui mimi
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,029 May 11, 2015 #42 natural winner said: Guys naomba ushauri wa simu gan kali ya kununua bajet yangu ni laki 2 mpaka 2 na nusu...natanguliza shukurani Click to expand... galaxy s2 ndo Simu nzuri kwa pesa hyo..achana na mediatek hzo tecno ,Narudia usinunue MTK yoyote akiongozwa na Tecno.
natural winner said: Guys naomba ushauri wa simu gan kali ya kununua bajet yangu ni laki 2 mpaka 2 na nusu...natanguliza shukurani Click to expand... galaxy s2 ndo Simu nzuri kwa pesa hyo..achana na mediatek hzo tecno ,Narudia usinunue MTK yoyote akiongozwa na Tecno.
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,029 May 11, 2015 #43 Ilisolokobwe said: Yaani unamshauri mtu anunue tecno kwa laki3!,tecno hata bure sichukui mimi Click to expand... yani MTU atoe laki tatu akanunue Tecno?
Ilisolokobwe said: Yaani unamshauri mtu anunue tecno kwa laki3!,tecno hata bure sichukui mimi Click to expand... yani MTU atoe laki tatu akanunue Tecno?
B Borussia Member Joined Apr 20, 2015 Posts 9 Reaction score 0 May 11, 2015 #44 tecno ni simu za baa medi na wanafunzi wa sekondari,walinzi,mgambo na makondakta -acha
Real One JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 2,158 Reaction score 1,873 May 11, 2015 #45 mnyepe said: Tafuta tecno phantom z halafu ulinganishe na simu yako??? Click to expand... Kwani wewe unajua simu anayotumia uliye m-quote
mnyepe said: Tafuta tecno phantom z halafu ulinganishe na simu yako??? Click to expand... Kwani wewe unajua simu anayotumia uliye m-quote
Real One JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 2,158 Reaction score 1,873 May 11, 2015 #46 kcamp said: galaxy s2 ndo Simu nzuri kwa pesa hyo..achana na mediatek hzo tecno ,Narudia usinunue MTK yoyote akiongozwa na Tecno. Click to expand... Mkuu naomba kuuliza nini maana ya na kuna tofauti gani kati ya MTK na snapdragon
kcamp said: galaxy s2 ndo Simu nzuri kwa pesa hyo..achana na mediatek hzo tecno ,Narudia usinunue MTK yoyote akiongozwa na Tecno. Click to expand... Mkuu naomba kuuliza nini maana ya na kuna tofauti gani kati ya MTK na snapdragon
Kontelo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 571 Reaction score 161 May 11, 2015 #47 The Unknown said: tecno ni simu za baa medi na wanafunzi wa sekondari,walinzi,mgambo na makondakta Click to expand... Kuna ushahidi wowote wa iko ukisemacho??
The Unknown said: tecno ni simu za baa medi na wanafunzi wa sekondari,walinzi,mgambo na makondakta Click to expand... Kuna ushahidi wowote wa iko ukisemacho??
T The Evil Genius JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 6,151 Reaction score 20,065 May 12, 2015 #48 mnyepe said: Tafuta tecno phantom z halafu ulinganishe na simu yako??? Click to expand... Neno tecno sitaki kulisikia hata nyumbani kwangu
mnyepe said: Tafuta tecno phantom z halafu ulinganishe na simu yako??? Click to expand... Neno tecno sitaki kulisikia hata nyumbani kwangu
T The Evil Genius JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 6,151 Reaction score 20,065 May 12, 2015 #49 Man Eric said: Sio kauli nzuri. Hao nao ni watu na wanahitaji heshima na hadhi stajiki ltk jamii. Tengua kauli!!! Click to expand... Nimetengua mkuu kwa heshima yako,uwe na amani mkuu.
Man Eric said: Sio kauli nzuri. Hao nao ni watu na wanahitaji heshima na hadhi stajiki ltk jamii. Tengua kauli!!! Click to expand... Nimetengua mkuu kwa heshima yako,uwe na amani mkuu.