Smartfone, android phone kwa laki 2

Joined
Aug 26, 2014
Posts
80
Reaction score
19
Guys naomba ushauri wa simu gani kali ya kununua bajeti yangu ni laki 2 mpaka 2 na nusu.

Natanguliza shukurani
 
Kuna kaharufu ka hela ya kujikim....

Nawaza tu
 
guys bado cjapata suggestion ya phone nzuri! Npo tayari kuongeza ela ila isizidi lak 3....
 
Usinunue used. Pesa nzuri hiyo tafuta simu za Huawei au Tecno ni nzuri kwa matumizi ya kawaida. Mpya unapata. Usitake makubwa kukiwa na hela fupi, utauziwa vimeo. Hakuna anaeuza simu ili anunue nyingine most of us tunauza kwasababu vimeo tumexhoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…