Smartcard kuanza kutumika badala ya decorder

Smartcard kuanza kutumika badala ya decorder

Msingi_Mbio

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
336
Reaction score
44
Nimeona kwenye gazeti la citizen la leo kuwa smart card zitaanza kutumika ndani ya miaka 5 ijayo na kutakua hamna haja ya mtu kununua decorder na kwamba zitakwa na cheap kama ilivyo laini ya simu na kwamba raia watanunua cheap watakayo itaka mwenye uelewa zaidi plz atujuze

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwaio kwenye ilo gazet umesoma na hujaelewa?

Weka ata link ya ilo gazet basi
 
Ni kama nashindwa kumuelewa mleta mada...

Mbona dekoda nyingi kwa sasahutumia smartcard, labda tuelezane huko kwa gazeti umesoma nini cha ziada kutoka hicho ulichoandika.
 
Kwa hiyo hata simu kuna wakati hatutatumia badala yake tutatumia sim card tu? Huo ndio mfano unaoendana kabisa.
 
Ni kama nashindwa kumuelewa mleta mada...

Mbona dekoda nyingi kwa sasahutumia smartcard, labda tuelezane huko kwa gazeti umesoma nini cha ziada kutoka hicho ulichoandika.

Kiufupi ni kwamba hajaelewa kabisa alichokisoma labda aweke link tufuatilie wenyewe. Na kama hilo gazeti ndicho walichoandika kweli watafuta kauli si muda mrefu!
 
Sema hiyo smart card itakua inachomekwa direct kwnye tv, no haja y king'amuzi hapo ndio utaeleweka.
 
Habari hiyo nimeipata na kuisoma katika gazeti la citizen. Wsnachomaamisha ni kwamba sasa ili upate channels za Ting lazima ununue decorder ya Ting, hali kadhalika ili upate channel package ya startimes au continental au azam lazima ununue decorder hisika. Kwa utaratibu mpya wa smartcard mambo yatakuwa kama vile receivers mfano strong, mediacom au dstv ambapo unanunua receiver bila kuwa na channel package yoyote. Aina na idadi ya chamnels itategemea aina na idadi ya lnbs na pia uelekeo wa dish. Kwa hiyo kwa decorder ile ile moja titacheza na smartcard tu badala ya kujaza decorder ya kila kampuni kama ilivyo sim card voda,tigo, zantel, lakini simu ile ile. Link hii hapa.
 
Kwa hiyo hata simu kuna wakati hatutatumia badala yake tutatumia sim card tu? Huo ndio mfano unaoendana kabisa.
Hapana! maana yake unaweza kuwa na dekoda kichefu chefu ya startimes ukatumia smart cards za dstv,continental,ting nk!kama vile una simu yako ambayo si ya contract then unaweka simcard yeyote Tigo wazimu,airtel miyeyusho,zantel doro,vodacom wazushi sasatel kaja lini!
 
Ni hivi, kuna baadhi ya smart tv huwa zinakuja na dikoda ndani ambazo zinaingia smart card ya aina yoyote, huku sidhani kama zishafika au la lakini ughaibuni ndio wanazotumia kwa sasa


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Bongo itakuwa zimefika kama unamaanisha smart tv (internet tv)

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Gazeti la Citizen si laKingereza lile!!? BRN on duty
 
Tusisahau IP decoders zi nachukua kasi! Kutumia SIM card za GPRS ; nchi kibao sana zimeanza kuchangamkia fursa
 
Back
Top Bottom