freshNgoja wataalam waje mkuu
namba hazipatkani toka asubuhPiga 0764700800. Huduma kwa wateja
Sio kweli. Ziko hewaninamba hazipatkani toka asubuh
t's done bro..,thanks sanaChomoa smart card yako; futa kwa kidole ile chip inayofanana sim card; rudishia card; washa wakati inawaka gonga gonga juu ya decorder tatizo litaisha:
Tafadhali leta mrejesho
kwasabb 2mevikuta wazaz wameshanunua.....ikawa hakuna namnahivi mnapendea nini startimes?
It worked, thanks!Chomoa smart card yako; futa kwa kidole ile chip inayofanana sim card; rudishia card; washa wakati inawaka gonga gonga juu ya decorder tatizo litaisha:
Tafadhali leta mrejesho