Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Huu Uzi unaonyesha Ukweli Kuwa Ukimchukuwa Mhenga humu JF Usijishaue kwa kujifanya Umechukuwa malaika kwa Kutag tag kila comment yako.. Sasa aibu inawakuta hata siyo aliyefaidi zaidi ni nani au wote wameliwa na kuacha kama ilivyo Custom and Taboos za JF
Aisee nimependa commwnt yako. Sasa hivi tunafukua love connect

Cc Shunie Sakayo
 
Kuna Mwingine kaamua kumuokota huyo kijana sasa yanayoendelea Mungu atashuka Muda si Mrefu.. Kiukweli JF hata Bongo Movie ni cha Mtoto yaani bora Hili Jukwa la MMU liwe upgraded kwa Kudahili Electonical Bongo Movie.

Ila Nitakuja na Thread ya Kuelezea Madhara ya Mahusiano ya JF yanaumiza sana kwa sisi tunaona Mtaani.....

We have to rectify these madhara yake yanawangukia Watoto
 
Huu Uzi unaonyesha Ukweli Kuwa Ukimchukuwa Mhenga humu JF Usijishaue kwa kujifanya Umechukuwa malaika kwa Kutag tag kila comment yako.. Sasa aibu inawakuta hata siyo aliyefaidi zaidi ni nani au wote wameliwa na kuacha kama ilivyo Custom and Taboos za JF
hahaha hakuna asiye na historia nyuma, hao waliofukua kaburi la mwingine fatilia ujue mambo yao

mtu asijishebedue wakipendana jamani,acheni watu waji cc hawatupunguzii kitu ni uwivu ni nini kinachosumbua? personal life za watu kusimamiwa kucha
life is too short chaaa, mimi ningekuwa mahondaw ku cc nisingeacha nikiachika si basi kwani atadaiwa?
 
Aisee na huyu Ilishakuwa Chali tena JF Customs and Taboos
 
Kuna Mwingine kaamua kumuokota huyo kijana sasa yanayoendelea Mungu atashuka Muda si Mrefu.. Kiukweli JF hata Bongo Movie ni cha Mtoto yaani bora Hili Jukwa la MMU liwe upgraded kwa Kudahili Electonical Bongo Movie.

Ila Nitakuja na Thread ya Kuelezea Madhara ya Mahusiano ya JF yanaumiza sana kwa sisi tunaona Mtaani.....

We have to rectify these madhara yake yanawangukia Watoto
hapana, huwezi kurectify haya mambo yapo toka mda, jf ni kama huko uraiana watu wanavunja ndoa kwa viserengeti boys mbona mnakuwa kama mnaguswa na maisha ya watu
huu mda wa kukusanya details za watu mnapata wapi, meanwhile unaweza kuta hapo nyumbani kwako kuna mtoto unakaa nae anaharibikiwa ila huoni upo busy kurekebisha watu wazima +18,acheni bana wakishindwana wakiyamwaga tuyaangalie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom