Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Naona unataka ligi

mwambie Saint Ivuga akakubembeleza wewe maana nilikuwa Smart911 na mahondaw nakushangaa sijui umentokea wapi. Kwani umesikia mimi nakutaka, nyani wewe mxiuuuu zake

eti matusi mapya nenda kwenye ultra-sound wakaangalie kizazi kipo maana unaweza ulienda kukojoa ukakikojoa kikatoka. Acha ligi na mimi sikuhitaji, huo uzuri wako peleka wanaume wengine mimi uniache tafadhali.

eti matusi mapya heeee kayaangalie yanakaa kwenye nguo ndogo kuliko zote mwilini

naomba uniache unikome kama yule aliyekubikiri uniogope na uniheshimu
Kaka naomba mtu akinichokoza niwe nakutagg unanisaida huwa wananionea sana humu
 
Hii thread mpaka mwisho wake nathani itatengeneza maadui wengi sana


Hapana Mkuu ila kusema Ukweli ni Kwamba Watu wanadhani Maisha ya Mtandaoni ni tofauti na Maisha ya Uraiani.. Yaani Mtu Yupo Radhi kuharibu Mahusiano yake ya Uraiani kwa kudhani kuwa Huku Kuna Malaika kupitia Comment zao na Ushauri wanaokuwa wanautoa.. Ila Katika hali halisi Huyu huyu Unayemuona Bora ila kumbe ni Nyoka kuliko Huyo Uliemkimbia na Kumdhihaki kuwa si chochote.
 
Guys, hakuna asiye na past, hakuna aliyetembea na mwanaume/mwanamke mmoja tu, hakuna aliye perfect.

Yanayotokea jf ni sawa kabisa na yanayotokea uraiani, watu wanaachana na kurudiana, watu wanachukuliana wake/waume, in fact kila mtu ana uzoefu mbaya kuhusu mahusiano.

Tuweni wastaarabu japo kiduchu tuwastiri wenzetu. Naamini wote tumejifunza kitu hapa, exposing your identity is risky, hasa kwa watu msiofahamiana ni very risky.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom