Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Hahahaha kumbe tukajua umetutimua na sisiNaona wooote mmeenda pm...
Mie nilimtimua Bonny na yule best yake bhana
Hahahaha kumbe tukajua umetutimua na sisiNaona wooote mmeenda pm...
Mie nilimtimua Bonny na yule best yake bhana
Hahahhahaha mbavu zangu mieeeIle tight yake itachanika
Sasa si ulog out jamaan mpaka umalize kuandika notice
shunie silog out ng'odo nataka niwatumie na zile pm ziko mbali mnooooHutumbuliwiii
Piemuu kwangu hazijiigeniveros dark angel mbona ham respond pm huko jamani???
Hyu new born baby auHa ha ha ha a
Namimi namcheck tu atakua ameblockiwa
Kumbe na kwako amepitaKuna mtu ana-like tu nadhani keyboard yake haiwezi kukomenti kwny huu uzi
Shoga angu nimeona kule naniliu kulePiemuu kwangu hazijii
Tatizo lako umefunga pm. Umbea una ukosa
Ujue nakusubili umalize kuandia noticeaanapishana na gari ya mshahara huyuuu
Umeona drama zilivyo matata.Shoga angu nimeona kule naniliu kule
Woyoooooooo wahenga wenzangu mumesikiashunitooo subirini ntulie umbea woote Mhenga mie ntawapa
MHENGA nasema"kawia ufike"
"haraka haraka haina baraka"
Hakuna namna shoga amalize kuandika arudinimekushindwa mchana Kweupe
Hivi tunaonana lini lakini tukale mishkaki na kaka bonny lazima awepo![]()
![]()
![]()
shunie silog out ng'odo nataka niwatumie na zile pm ziko mbali mnoooo
mpiem wewe au hutaki piaPiemuu kwangu hazijii
Kweli yaani full of drama.Umeona drama zilivyo matata.
Umeona na huyo alivyokuwa amekufa kwake?
Hatarious ndiyo maana hili halimshitushi ..
X wa mtu kakutana na x wa mtu.