Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Habari zenu wadau,

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha...dada Rubii naona umeiamkia mapemaa.

Mimi nasubiri neno kutoka kwa yule anayejiita Mahonda sijui Mapikipiki....hahahahha, who took my popcorns?!😳
 
Hao tunasema ni vivulana mkuu rubi maana mwanaume anaejitambua hawezi kujisifu kwa kula k
 
Hao tunasema ni vivulana mkuu rubi maana mwanaume anaejitambua hawezi kujisifu kwa kula k
 
kukemea huko vepe vepeee????
duh!!! Umeniacha hoiiii
 
Hahahaha...dada Rubii naona umeiamkia mapemaa.

Mimi nasubiri neno kutoka kwa yule anayejiita Mahonda sijui Mapikipiki....hahahahha, who took my popcorns?!😳
Neno gani sasa kwa mfano unasubiri? Kama kweli hawa walikuwa na mahusiano basi huyu tayari ni ex na mahondaw ndio present. Na kama ilikuwa public basi hata bibie tayari anafahamu hilo, so sioni tatizo lolote. Bora huyo ambae yake yako public kuliko wale silent killers, mnapangwa na hamjuani.
 
Aaaghaa wapi, wanaishia kunijua maserati wa jf tu, hakuna mwingine ananijua zaidi ya relato peke ake.
Hakuna hata mwenye namba yangu ya simu humu

Hutaamini pale utakaposikia Smart alimwambia bebe wake kakupitia
 
Damn nilikuwa wapi sikuiona hiyo!!! Hao ni wavulana maana kuongezeka umri haimaanishi umekua. Huwa najiuliza ni sifa kujitangazia umetembea na fulani ilihali hata mwenyewe tu kumuona haujawahi hata kumuona!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…