Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Saint Ivuga

sio kwamba nilikuwa nawafuatilia ila karibia kila nyuzi nazoingia nawaona halafu hawana jipya ata iwe siasa, hoja mchanganyiko, celebrit ni INASIKITISHA SANA, MAHONDAW WANGU USISIKILIZE YA DUNIA, MY KING NACHEKA KWA DHARAU...

Ilikuwa inanikera sana yaani sasa leo siwapumzikii nawachaana mpaka mchanike haswaaa tena siondoki ng'ooo mpaka mbadilishe tabia. Msipobadili basi tena na navyopenda umbeya aisehhhh jiandaeni kupata kiharusi
 
acha nikalale yaan wewe hapana aisee
 
cc mahondaw
 
We kaka.
Sakayo Shunie yaani mbavu zinaniuma.
Shemela Saint Ivuga nacheka mpaka machozi yananitoka jamani huku.
Halafu nipo air port hapa namsubiri lato latooo
Watu wananishangaa tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…