Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,121
- 165,987
- Thread starter
-
- #41
Shetani anawashambulia sana watoto wa wachungajiWANAWAKE WA DOT COM WALA HATASOMA HII maana haiwezekani, hata kama baba yake ni askofu na mama yake ni mchungaji na yeye kazaliwa kanisani, kasoma nasari kanisani, darasa lakwanza mpaka lasaba shule ya kanisa, sekondari shule ya masista.
Vibaya hivyo kutujumuisha. Tupo wenye hofu ya MUNGUYani kabla hujafika nyumbani utapata msg kuambiwa ulale hukohuko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nikushtaki kwa bashite [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh..ila yawezekana, ngumu kama "jiwe", ila yawezekana...
Stori safi kweli...kama ya padri...!
Ebu ngoja nijaribu, ila nikipigwa na mwiko ***** Bujibuji ntakutafuta popote ulipo nikushtaki kwa bashite...
Why unaita HEKAYA?Hekaya nzuri japo ni ngumu kukuta binadamu wa hivyo katika dunia hii ya leo.
hhahahahah utanipa pressure weweI'm here for you baby galore[emoji7] [emoji7]
I used to be a very smart,advisor,listener,humble girlfriend...but what that mofo did to me kwakweli acha tu tuumizane sahiviBe a smart girl/woman a perfect husband wil come.
Dear sweetheart Galore ,there is no perfect husband anywhere neither perfect wife!We all have our evilness inside us,ila kujishusha ni jambo la muhimu na msingi sana hasa kwa hawa viumbe waitwao wanaume!!Hakuna mwanaume mkali na mwenye hasira kwa mwanamke mnyenyekevu na msikivu!Halafu dawa yao hawa ni wewe kujishusha muda wote,watakunyenyekea mpaka ufurahi na roho yako!!
Tatizo ni kwamba wanalilia hao smart wife na wakiwapata they just take them for granted.My love,nilikua mtu mwema sana tena sana kwa mwanaume wangu,nilijishusha mno na nilimpenda hakuna mfano,you know what he did??!!,these people are so ungrateful kwa kweli,labda huko mbeleni nitapata fungu langu lakini kwa sahivi let me just find a perfect one ambae atakidhi vigezo vyangu
Umeona ehh,huwa wanatuchukulia wazembe sana tukiwa humble kwaoTatizo ni kwamba wanalilia hao smart wife na wakiwapata they just take them for granted.
Wanaume hata hawajui nini wanataka.
Walishajivuruga toka enzi za Adam na HawaNani alowavuruga?