Smart Wife

Kwa Yesu KRISTO ( Sijasema kanisani)
So far maandiko matakatifu yanamtamka wazi kwamba atarudi siku ya mwisho kunyakua kanisa na kwamba kwa sasa yupo mbinguni, ina maana hakuna haja ya kutafuta mke sasa hadi baada ya maisha ya duniani kukoma kwa maana wanawake wema wanapatikana mbinguni yalipo makazi ya Mungu?
 
All i need is a perfect husband,then i will be a smart wife

πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Dear sweetheart Galore ,there is no perfect husband anywhere neither perfect wife!We all have our evilness inside us,ila kujishusha ni jambo la muhimu na msingi sana hasa kwa hawa viumbe waitwao wanaume!!Hakuna mwanaume mkali na mwenye hasira kwa mwanamke mnyenyekevu na msikivu!Halafu dawa yao hawa ni wewe kujishusha muda wote,watakunyenyekea mpaka ufurahi na roho yako!!
 
umeongea kwa busara mpaka nimekuhusudu 4 free...barikiwa sana dada
 
Ivi jiko umesema alizima eeeh,maana gari za zimamoto hazinaga maji
 
Kama ndio tabia yako basi jua kwenye 1000 mpo 10tu

Pongezi zikufikie popote ulipo.
 
Maisha ya sunset beach enzi hizooo....

Not now..
 
Mnavyopenda akufanyiwa sasa!!!
 
Duh..ila yawezekana, ngumu kama "jiwe", ila yawezekana...
Stori safi kweli...kama ya padri...!
Ebu ngoja nijaribu, ila nikipigwa na mwiko ***** Bujibuji ntakutafuta popote ulipo nikushtaki kwa bashite...
 

Inapendeza....

But...

Inaonekana unaifuatilia hii familia kwa ukaribu sana eenh!!
 
WANAWAKE WA DOT COM WALA HATASOMA HII maana haiwezekani, hata kama baba yake ni askofu na mama yake ni mchungaji na yeye kazaliwa kanisani, kasoma nasari kanisani, darasa lakwanza mpaka lasaba shule ya kanisa, sekondari shule ya masista.
Shetani anawashambulia sana watoto wa wachungaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…