Pole sana kama yeye ndo alikuwa na kosa ila kama ni wewe kwanza kaa kimya kama miezi 3 ujitathimini upya maana wanasema
" mfupa ulomshinda fisi utautafuna wewe"?
Sasa mbona wabagua mkuu na sisi je?
Nyie nitafuteni mimi...
Sijaomba ushauri mkuu. Maamuzi nshafanya tayari. Ahsante lakini. Much appreciations
Mkuu japo hiyo mada ni nyingine bt makosa hayakuwa upande wangu. On top of that hapa pia sitafuti wa kuanza nae relationship straight forwad nahitaji wa kuniweka sawa lile gap nisilione kama lipo ila kama tutakuwa compatible we can press da button! Ahsante kwa ushaur. Be blessed
Sometimes ukiwa na stress, utajikuta una enjoy chat for two days or a week, inaanza kukuboa u withdraw yourself. Its super hard kuondoa stress kwa chat tu.
But nimesema we can even go far ndo maana nikasema awe single ingekuwa ni strictly chatting ningesema hata kama ameolewa sawa. I think I wont get bored chatting with the one who seems to have an empty room for my soul.