Jonogomero
Member
- Feb 8, 2012
- 99
- 27
Kwa kweli hizi smart phones zinapoteza kabisa internet cafe, kwa maana imefikia hatua kila kitu mtu unafanya kwa kiganja chako, hata moderm sasa zitakosa soko sasa. Mtu akienda cafe ujue anafuata photocopy na printing tu.

Msaada jamani sijawahi kutumia smart phone ila nnampango wa kuinunua naomba mnisaidie ni aina gani ya smart phone itanifaa kutokana na uzoefu wenu
Lon live smart phones. Lakini mnazitumia katika full potentials zake?
Msaada jamani sijawahi kutumia smart phone ila nnampango wa kuinunua naomba mnisaidie ni aina gani ya smart phone itanifaa kutokana na uzoefu wenu
kaka internet cafe bado zinajaa wateja,kuna mambo mengi ambayo huwezi kufanya kwenye smartphones,pamoja na watu kuwa na laptops na kuwa na modem bado internet imekuwa ni muafaka kimatumizi na kulinganisha na hizo smartphones ,ambazo mi naona bado ni toy(zaidi zinatumika kwa email,facebook,twitter) ukiwa na kazi kubwa lazima utaenda cafe
Yeyote inayotumia os ya Android. inaweza kuwa HTC, Sony Ericsson Xperia au Samsung Galaxy
Tatzo la os ya android inakula sana chaj tofauti na symbian. Mfano mimi kwa simu yangu ya e63 naweza kaa online all day na isiishe chaj
Toy? you must be on drugs. Kuna smartphone zenye uwezo mkubwa kuliko hiyo mikebe ya enzi za Pentium zilizojaa kwenye ma cafe!
Symbian ni very slow. Halafu hakuna tena simu zinazotumia OS ya Symbian zaidi ya Nokia hivyo software zake zinakuwa limited maana developers hawai-support sana.
Android zilizokuwa zinakula chaji ni zile za mwanzo 1.6 (donut) lakini latest 3.0 au 4.0 ni nzuri sana. Mimi natumia 2.3.4 kwenye simu ya screen kubwa, saa zote ikiwa kwenye net, ku-update weather, ku push email na wallpaper live (yenye video), kupiga simu karibu kila baada ya dk 20, message non-stop na ku-surf pages na bado napata siku nzima (masaa 16) bila shida.