denoo49 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 6,113 Reaction score 6,953 Sep 26, 2013 #1 Wakuu heshima yenu popote mlipo. Binasfi nahitaji msaada wenu ni wapi ntaweza kupata simu ya mkoni model X405 xtouch Sonny, kwa wakazi wa Dar au Mwanza. Kwa dar nimejitahidi kuzunguka kwenye yale maduka maharufu ya posta cjafanikiwa.
Wakuu heshima yenu popote mlipo. Binasfi nahitaji msaada wenu ni wapi ntaweza kupata simu ya mkoni model X405 xtouch Sonny, kwa wakazi wa Dar au Mwanza. Kwa dar nimejitahidi kuzunguka kwenye yale maduka maharufu ya posta cjafanikiwa.