smart phone huu ni ushamba

smart phone huu ni ushamba

Uliyetoa ujumbe mwambie hy anayekukera awe na simu 2, kama mimi nina simu ya kuperuzi JF tu na ingine ya mawasiliano
 
N kwel hata mm nnazo mbl...in case ikzma bas nokia inanhusu
 
Hata mimi huwa najiuliza simu ninayotumia kuperuz jf na mitandao mingine ni tecno 511 ambayo ni simu ya kawaida sana isiyo na mbwembwe zozote lakini muda wote ipo mkononi nahangaika na jf, sasa na wewe jiulize siku nikipata hiyo smatfon itakuwaje?
 
kuna watu wengi sana wanahizi tabia ila nataka nimtolee mfano huyu mmoja wetu hapa ofisini ana simu ya bei ghali ina features kibao na ma app ya kufa mtu kazi yake ku browse tu baada ya lisaa simu haina chaji kwa hiyo huwezi kumpata kwenye simu hata siku moja, utakuta lijitu lina simu ina gps, na madude kibao ambayo hayatumii kwa vyovyote wala hana umuhimu nayo bila kujua kuwa yana mmalizia chaji nashauri kama unajua unatabia hiyo nunua simu moja ya tochi inakaa na chaji vya kutosha iwe kwa ajili ya mawasiliano tuu halafu nunua na hiyo "tachi" kwa ajili ya kuangalia hayo mahabari ya Flora Mbasha yaani inaudhi tangu haya masimu yameingia watu hawapatikani kwenye simu

Simu za sasa ivi sio tu kupokea mzee, upo out of office, outlook umeunganisha na simu msg zote unapata na kujibu pia, whatsup, jamii forum, twitter, facebook hupati kwenye touch zako nazani we ndo ubadilike.
 
Ndio maana watu wa siku hizi hawana makuu, akifika nyumbani kwako haombi maji wala soda. Akifika utakuta anasema "dah Tanesco hawa majanga majanga majanga, aisee una bapa au pin ndogo hapo manake kasim kangu kameisha chaji tangu jana" kumbe mwongo alichaji asubuhi na saa tano kameshaisha..

Kwikwikwiii,umeua kabis kamanda...
 
Hivi haya yanakuathirije wewe ambae hkugharamika hata senti katika kununua smartphone hiyo?

Kila mtu anaponunua simu huwa ana malengo yake binafsi! - hapo ndipo tunapoanzia kutofautiana!
 
Siku hizi ukiwa na "smartphone" hata kama ni ya line mbili utaona mtu ana kisimu kidogo kinachokaa na chaji vinginevyo humpati.
 
we ni mnafki acha kufatilia maisha a watu simu ya bei ghali ataubrowse vipi ni aeiz isha lisaa limoja lbda ni mchina....inaonyesha umepekua sana simu mpaka unajua nini kinamalixa chaj duh
 
Simu za sasa ivi sio tu kupokea mzee, upo out of office, outlook umeunganisha na simu msg zote unapata na kujibu pia, whatsup, jamii forum, twitter, facebook hupati kwenye touch zako nazani we ndo ubadilike.
yaani huu ujumbe ulikuwa mahsusi kwa ajili yako, ukiwa na simu kisha uka down load hayo ma app yote uliyoyataja ni simu aina mbili tuu ndiyo zina uwezo wa kukaa na chaji kwa zaidi ya masaa matatu hivyo ni vyema ukawa na simu nyingine kwa ajili ya kupiga kupekea na kutuma ujumbe (nadhani hizi ndizo basic za simu) kingine outlook ni utumwa wa wazungu binafsi nilipata kazi kwenye shirika ambalo makao yake makuu yako marekani (kumbuka tumewazidi masaa saba) basi nikaja ni ka smartphone kangu nika configure outlook kweli mara zote nikawa mimi ndio wa kwanza kupata mail hivyo nikajikuta ninakesha ofisini kwani mbaya zaidi yule mtumaji anaona meseji imeingia na kusomwa saa ngapi kwa hiyo kama ni assignment inabidi uifanyie kazi mapema, kingine kuna huyu kaka ofisini imebidi nimlime memo na sasa natafuta sheria ya kazi ambayo itanipa meno ya kumlima barua ya onyo kwa sababu kazi tunazofanya ni sensitive kidogo nayee muda wote hapatikani kwenye simu ila najua ana latest model ya Samsung ambayo inauzwa kama 1.5 anachokifanya anashinda akimuangalia Flora mbasha, na blog za kikuda lakini wakati akitafuta kutekeleza jukumu anakuwa hapatikani mbaya zaidi amehamia kwenye nyumba yake ambako umeme haujafika yaani ni shidah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom