illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
kuna watu wengi sana wanahizi tabia ila nataka nimtolee mfano huyu mmoja wetu hapa ofisini ana simu ya bei ghali ina features kibao na ma app ya kufa mtu kazi yake ku browse tu baada ya lisaa simu haina chaji kwa hiyo huwezi kumpata kwenye simu hata siku moja, utakuta lijitu lina simu ina gps, na madude kibao ambayo hayatumii kwa vyovyote wala hana umuhimu nayo bila kujua kuwa yana mmalizia chaji nashauri kama unajua unatabia hiyo nunua simu moja ya tochi inakaa na chaji vya kutosha iwe kwa ajili ya mawasiliano tuu halafu nunua na hiyo "tachi" kwa ajili ya kuangalia hayo mahabari ya Flora Mbasha yaani inaudhi tangu haya masimu yameingia watu hawapatikani kwenye simu