danali
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 1,135
- 1,675
habari wakuu
laptop yangu nashindwa kuitumia kwa raha kutokana na kua ipo slow kiutendaji na hii sijui inasababishwa na nini
kwamfano nikitaka kufungua program, video nk inachukua kuload.
mara nyengine inagandaganda sometime inaganda kabisa so inabidi niiforce kuizima kwa kuhold power botton
naomba mwenye ujuzi na hili anisaidie tafadhali
natanguliza shukrani
features zake nimeziattache hapo chini