donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
If only such love still exists....
uliye naye vipi tena Asha,huamini penzi lake kwamba ni zito kiasi cha kukufia weye?
wooooo
you need to slow down brother
Too good to be true mmmhhh
dahhhh nilivyoanza soma hizo slow down
mmmhhh akili ilikuwa kwenye Idara nyingine
mmmmhhh
AD nami niliwaza hivyo hivyo... kidogo niishie njiani kusoma...
Bishanga nimeridhika nae saaana, lakini siko confident kua anaweza fika hadi wapi hasa pale anapojua kua mmoja wetu anatakiwa afariki, inawezekana akanichagua mimi niishi yeye afariki lakini si sababu ya kunipenda bali labda akajua kua wale watoto watakua in best hands mimi nikiwa hai kuliko yeye... maana inaeleweka watoto huteseka zaidi mama akifariki kuliko baba... Pia Bishanga nampenda mume wangu na bado sijaona dalili ya kusema yeye hanipendi, sielewi rohoni ni to what extent ananipenda ... but ya rohoni hainipi shida sababu in reality ananionesha...
But katika hii thread ni mtu na boyfriend wake.... kweli inagusa saana.
If only such love still exists....
wooooo
you need to slow down brother
Too good to be true mmmhhh
dahhhh nilivyoanza soma hizo slow down
mmmhhh akili ilikuwa kwenye Idara nyingine
mmmmhhh
hahahahahha lol
dahhh ni uchovu tu
nafikiri unatufanya tuwaze hivyo
mmmhhhh.. sasa hivi unaweza kuingia kule
ambako watoto hawawezi ingia ?? waweza kuni PM jibu
asante bibi mzuri...
mapenzi,mapenzi,mapenzi.......nakuombea wewe uwe his last love,itakuwa neema na baraka iliyoje kwenu wawili!
tupo lakini wachache sana. Mimi bana waifu akitafunwa na Mbu basi nalia mimi. Kupenda balaa jamani
The above naona ni wazo zuri... after all kuna huyu mtoto mwenye thread hii, haitapendeza tukichakachua hio akili....
hahahah lol
umeona thread kama
nne tano hivi zimefunguliwa
asubuhii hii za ajabu kweli kweli ..
na dhani shule zimefungwa mapema mmmhh
tupo lakini wachache sana. Mimi bana waifu akitafunwa na Mbu basi nalia mimi. Kupenda balaa jamani
Leo ndo nimegundua these mods hawalali tayari nyingine zimefungiwa....
Lile darasa la true love vipi? au limehairishwa? hapa ndio mahala pake si unaona jamaa katoa Helmet ili bimdogo apone, halaf habari za kuaminika siku 20 baada ya maziko bimdogo kakutikana gesti na njemba ya kijaluo. Wanawake bana!hahahahahah lol
umeanza ae mbu anatafuna hahahah lol
jamani jamanai we unajua kunichekesha kwa kweli lol
zimehamishwa kule kwa wazee hahahahlol