Slitting Machine operator natafuta kazi

Slitting Machine operator natafuta kazi

MATTBOY

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
262
Reaction score
213
Heshima kwenu wakuu

Wakuu mimi ni mdogo wenu mtiifu na mchapa kazi.

Kama kichwa kinapojieleza hapo juu, mimi ni kijana niliyebobea kwenye kazi taja hapo juu, kwahiyo ndugu jamaa na marafiki naomba kwa yeyote anayefanya kazi kwenye kampuni ya yenye mashine za slitting naomba aniunganishe nami nipate kazi. niko na uzoefu wa miaka miwili nikifanya kazi hii. niko na uwezo wa kutengeneza rolls size zote na hadi zilizo printed.

Niko tayari kufanya kazi mahali popote pale.

Natanguliza shukrani.
View attachment 1849246
 
Asante mkuu, na kama unajua mahali kampuni Ilipo nistue
 
Back
Top Bottom