Mtoto msweetyAwww Sooo cute
Napenda sana gauni fupii za kumwagaa na kiatu kirefuu unapendeza sanaakumbe tunaopenda vigaun tupo weng!
[emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kamenikumbusha kuna mtt wa kaka angu anapenda kuvaa viatu vya watu wazima vya kwake hapendi
Kamevaa viatu vya mama ake ila kamependeza
Huyu akikua atakuwa lulu
Napenda sana gauni fupii za kumwagaa na kiatu kirefuu unapendeza sanaa
Aya asante nimeona kabisa unamalengo .
Tutakua tumekuza Sasa, anaita mama na baba kabisaaa
Nilichogundua wanawake mnapenda watoto wa kike .
Ila hiyo avatar unanipa wakat mgumu sana[emoji23][emoji23][emoji23]hizo ndo pigo zangu asee!mm na magauni,magauni na mbiti(mafupi)
Usinichekeshe huyo mtt kwetu ni kituko yan ukienda kwao mama ake akupe labda kitenge chake ujifunge akikuonaWengi ndo tabia zao,nawengine ukivaa ata malapa ya mama zao wanalia hatari
Hahahahaaaa uzur wanatambua vitu vyao, Kuna mwingine nguo zake Huez kumvalisha mtoto mwingine, hata kama haimtoshi ukaamua kugawa, akimkuta kaiva ataliaUsinichekeshe huyo mtt kwetu ni kituko yan ukienda kwao mama ake akupe labda kitenge chake ujifunge akikuona
Hiyo nguo ya mama anguu eeeh si ndio shangaziiii(lafudhi ya kichaga sasa)
Jambo jema,Niwatoto...
Mama zao wameamua kuwapendezesha, siunajua ckuiz watoto nao wakipendeza hawakosi hata matangazo ya maduka ya nguo za watoto
Kuna siku nimeenda tu kuwasalimia ikatokea nikaambiwa nilale sjaenda na nguo za kubadilishaHahahahaaaa uzur wanatambua vitu vyao, Kuna mwingine nguo zake Huez kumvalisha mtoto mwingine, hata kama haimtoshi ukaamua kugawa, akimkuta kaiva atalia